NEXT TELECOM INT. (T) LTD

ZANTEL AUTHORISED DEALER

 

Home               

Product and Services    Support                 Download                 Help                        
 

Jinsi ya kuongeza muda wa maongezi katika simu yako

Kungongeza muda wa maongezi katika simu yako, tafadhali fuata maelezo yafuatayo, ambayo pia yako nyuma ya kadoi yako ya kuongezea pesa;

  • Piga namba 104 kwenye simu yako ya Zantel na sikiliza maelezo

  • Fuata maelekezo ya sauti ya computer

  • Sauti ya computer ityakuthibitishia kiasi kipya cha pesa kwenye akaunti yako.

  • Kuongeza pesa kwa kutumia tarakimu pia *104*nambari ya siri ya kadi ya kuongezea pesa#

Next Telecom Authorised Distributor of WP Phones

Jinsi ya kujua salio lako

*102#

 

Kwa maelezo zaidi piga 100 katika simu yako ya Zantel.

 

Zantel Post Paid Tariff

Zantel Coverage

Last Updated 28/08/2005 All official communications, should be address to Next Telecom Int. (T) Ltd at the address shown below

Jamhuri/Agrey Steet, P. O. Box 8173 Dar es Salaam, Tanzania Tel. No. +255 (0)77 3035500 Fax. No. +255 (0)22 2129571, Email : sales@next-telecom.co.tz